Nahitaji marafiki wa kike

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
24,501
28,711
Nina mchumba nilimpata humu humu jf ila nahitaji marafiki wa kike kwa ajiri ya kushauriana...kuelekezana kimaisha n.k

Wenye elimu kuanzia STD VII na kuendelea hasa ndio hitaji langu.

Ni pm tupeane contacts
 
mmmhhh ulipata mchumba humu humu bado marafiki wa kike tena?? angalia usijekuwa jf playboyyy

Kuwa na marafiki ndio kuwa Playboy????

Au kuwa na wapenz wengi ndio kuwa Playboy?

Au mm ndio sielewi?

Nimeshasema tayar na mchumba tena jf member. ..
 
Back
Top Bottom