Nimeona mada nyingi humu zinazingumzia masuala ya kulea watoto wasio wao na kusingiziwa watoto, mara nyingi mwanamke humsingizia mtoto mwanaume yule mwenye malengo nae au mwenye uwezo wa kulea mtoto yule, mara nyingi mimba za kwanza za ubinti huwa ni za kusingizia.
Nije kwenye story yangu miaka nane iliyopita nikiwa nimeajiriwa kwa mara ya kwanza nilipata mpenzi mwanachuo akiwa chuo cha ualimu binti nilimpenda sana huku nikijua ananipenda mara kwa mara alipokuwa anafunga alikuwa anakuja kwangu maana hata wazazi wake walijua uhusiano kuna kipindi alinilazimisha kuja kwamba amenimiss nikamkatalia lakini akalazimisha kuja kumbe alikuwa tayari amenasa sasa kufika akalala siku ya kwanza ya pili akaugua halafu akawa analazimisha kuondoka ikabidi nimpeleke kwa nguvu hospitali nikamwambia dokta ampime vipimo vyote ikiwemo mimba majibu kutoka ana mimba kuumuliza akaanza kulia na kunieleza kuwa alichepuka na mwanachuo mwenzake mara akawa amebeba akaona anisingizie maana ananipenda nilimtimua kama mbwa.
Hivyo basi ukiwa na mchumba ukaona analazimisha kuja kwako ujue inawezekana kanasa huko anataka kukushikiza cha muhimu akija mpeleke hospitali au nunua kipimo na hakikisha mkojo anakojoa ukiwepo ili asikuwekee maji kwamba ni mkojo
Kulea mtoto wa mwanaume mwingine inauma.