agathe jean claudia
Member
- Dec 29, 2015
- 18
- 41
Hi
Kuna hii tabia ya muda mrefu na iliyoota mizizi ya wanaume kuomba namba za wanawake ovyo
Unakuta upo kwenye dala dala let say mmekaa kiti kimoja, utashangaa baada ya salaam tu mtu keshakimbilia kuomba namba, unashindwa hata kumwelewa
Hivi kwa sisi tunaoenda kazini daily tukisema tutoe namba kwa kila mtu, baada ya mwezi tutakua tumetoa namba kwa watu wangapi?
Ukinyimwa namba unaona kama umedharauliwa, kuweni wastaarabu bana
Hivi ww msichana wako au mkeo akiwa anaombwa namba na kuzitoa kwa watu kila siku utajisikiaje, tunaomba mtusaidie kwa kuwa wastaarabu
Tabia hii imekithiri sana, mtu upo sehemu yako ya kazi, jitu umeshalihudumia linaibuka na kuomba namba
Hivi mnaona sifa gani kutongoza wanawake ovyo ovyo?
Wakati mwingine mtu mwenyewe kachoooka halaf anakuomba namba hadi kero
2016 mbadilike