Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,289
- 2,472
Ni kweli natafuta mke sasa. Umri nao umeenda sasa. Kwa masuala ya details yatakuwa kati yangu na huyo atakayeni inbox. Kwa kweli najua wapo wanawake humu wengi tu na wazuri tu ambao kwa namna moja au nyingine wamekuwa unfortunate katika masuala ya mapenzi. Hata mi pia. Wapo wasomi na wazuri tu. Nahitaji nimpate wangu kama ikiwezekana kupitia humu. Umri uanzie miaka 28 hadi 33 hivi. Mkristo (ikiwezekana Mkatoliki) ni vyema zaidi. Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea. Kwa sasa nawasilisha hivyo. Kwa walio serious kweli.