Eulers Member Sep 18, 2013 51 31 Jan 9, 2016 #1 Mwanamke anaweza kumuacha Mwanaume mwenye VISION nakumfuata mwenye TELEVISION lakini ipo siku atamuona mwenye VISION kwenye TELEVISION ya mume wake.
Mwanamke anaweza kumuacha Mwanaume mwenye VISION nakumfuata mwenye TELEVISION lakini ipo siku atamuona mwenye VISION kwenye TELEVISION ya mume wake.
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 299,636 752,058 Jan 9, 2016 #3 Mapenzi upofu lazima umpate anayekupa raha unayostahili vingine majaliwa lakini si utamu wa kunako
Kaboom JF-Expert Member Nov 6, 2011 10,828 14,999 Jan 9, 2016 #4 Imeeleweka hii mkuu..An open letter to mama kijacho atoto
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 299,636 752,058 Jan 9, 2016 #5 Kaboom said: Imeeleweka hii mkuu..An open letter to mama kijacho atoto Click to expand... Kuuumbeee.....!!!!
Kaboom said: Imeeleweka hii mkuu..An open letter to mama kijacho atoto Click to expand... Kuuumbeee.....!!!!
Kaboom JF-Expert Member Nov 6, 2011 10,828 14,999 Jan 9, 2016 #6 mshana jr said: Kuuumbeee.....!!!! Click to expand... Vipi mkuu?
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 299,636 752,058 Jan 9, 2016 #7 Kaboom said: Vipi mkuu? Click to expand... Nikikuwa nataka kujua nani ni nani kwa atoto ili nitume maombi ya ushenga
Kaboom said: Vipi mkuu? Click to expand... Nikikuwa nataka kujua nani ni nani kwa atoto ili nitume maombi ya ushenga
Kaboom JF-Expert Member Nov 6, 2011 10,828 14,999 Jan 9, 2016 #8 mshana jr said: Nikikuwa nataka kujua nani ni nani kwa atoto ili nitume maombi ya ushenga Click to expand... Ngoja aje kukujibu
mshana jr said: Nikikuwa nataka kujua nani ni nani kwa atoto ili nitume maombi ya ushenga Click to expand... Ngoja aje kukujibu
C chifusongea Senior Member Jan 8, 2016 164 154 Jan 9, 2016 #9 JOHN2649 said: Mwanamke anaweza kumuacha Mwanaume mwenye VISION nakumfuata mwenye TELEVISION lakini ipo siku atamuona mwenye VISION kwenye TELEVISION ya mume wake. Click to expand... Well said bro
JOHN2649 said: Mwanamke anaweza kumuacha Mwanaume mwenye VISION nakumfuata mwenye TELEVISION lakini ipo siku atamuona mwenye VISION kwenye TELEVISION ya mume wake. Click to expand... Well said bro
Alphaking2023 JF-Expert Member May 20, 2015 2,092 2,123 Jan 9, 2016 #10 dats true,wanawake badilikeni