Wanaume wenzangu mnatia aibu

Eagle One

Member
Dec 28, 2015
88
55
Sisi Wanaume Tunapaswa Kua Vichwa Vya Familia Zetu ... Tunapaswa Kuwaongoza wake zetu ...

Wanaume wa humu wanaomba ushauri wamekua soft sana wanaomba ushauri mambo ambayo walitakiwa wawe wanauwezo wa kuyatatua kabisa ...

Sijui wanaume wa siku hizi tunalelewa vipi ??

Tambueni sio kila mwanamke anafundishwa adabu kwao .. Na sio kila anaefundishwa adabu anaweza kuendelea kukuheshimu hata kama usipo kua strong kuisimamia familia ..

Tatizo la nguvu la kiume linaongeza, na pia kulia lia kwenye mitandao ya kijamii pia kunaongezea .. Tunaelekea wapi Jamani...

Step Up Then muongoze mkeo kua LEADER .. Pata Heshima Yako Kwa mkeo kwakua una deserve it sio kwakua wewe ndio umeoa, vimitihani vidogo vidogo mnavyohangaika navyo humu kuomba ushauri unatakiwa uviweze kutatua.

Wanawake hua wana mambo mengi mno vichwani mwao na ni wasumbufu sometimes kama usipo kua strong wewe mtoto wa kiume utaharibu familia yako ...

Punguzeni Kulia lia Jamani..
 
Yaani tukianza kufanya tathmini humu jukwaani asilimia 85% ya wanaume wanakuja kuomba ushauri humu ndani kkuhusu wake na wapenzi wao , yani wao wenywe wanashindwa kuchkua action kama kichwa cha familia , yani utadhani kama kambale vile yani family nzima inandevu Hamna wa kumuheshim mwenzake, tuangalie jaman wanawake wanapoona hizi nyuzi za malalamiko wanaongeza dharau wanasema kumbe ni maadhaifu yao.., tujaribu kuonyesha kuwa, kupewa ndevu na makoromeo yana maana kwa wanaume ,nao kupewa matiti yana maana kwaoo
 
Sisi Wanaume Tunapaswa Kua Vichwa Vya Familia Zetu ... Tunapaswa Kuwaongoza wake zetu ...

Wanaume wa humu wanaomba ushauri wamekua soft sana wanaomba ushauri mambo ambayo walitakiwa wawe wanauwezo wa kuyatatua kabisa ...

Sijui wanaume wa siku hizi tunalelewa vipi ??

Tambueni sio kila mwanamke anafundishwa adabu kwao .. Na sio kila anaefundishwa adabu anaweza kuendelea kukuheshimu hata kama usipo kua strong kuisimamia familia ..

Tatizo la nguvu la kiume linaongeza, na pia kulia lia kwenye mitandao ya kijamii pia kunaongezea .. Tunaelekea wapi Jamani...

Step Up Then muongoze mkeo kua LEADER .. Pata Heshima Yako Kwa mkeo kwakua una deserve it sio kwakua wewe ndio umeoa, vimitihani vidogo vidogo mnavyohangaika navyo humu kuomba ushauri unatakiwa uviweze kutatua.

Wanawake hua wana mambo mengi mno vichwani mwao na ni wasumbufu sometimes kama usipo kua strong wewe mtoto wa kiume utaharibu familia yako ...

Punguzeni Kulia lia Jamani..
Hawa Vijana wa siku hizi wanakula Chips mayai na mayonaizi huku wanavaa vijinsi vya kubana makalio. Tusitegemee ushujaa hapa.
 
Uwezo wa kufikir haupo tena kwa vijana bongo zmelala kila kitu wanataka wasaidiwe kufikir na kufanya maamuzi
Hehehehe wewe kijana wa zamani mbona ndio bingwa wa kutongoza na kuambulia vibuti humu kwa hao vijana wa sikuhizi...
 
Kamuulize mwenzako mmoja anaitwa Mtawali kijana wa mjini alifanywa nini na kijana wa zamani kwa hizo tabia zenu za kupenda umarioooo. Nyamafu weee.
Nyie vijana wa zamani mmechokaa vipisi hivyo havisimami na vikisimama ni nusu safari chalii
 
Mkuu uwe basi unatuonyesha na huo ushauri wa wanaume wa hapa unao uita wewe kama ni soft!

Mchumba wangu jana hajarudi home,kwa hasira hizi unataka nisiombe ushauri hapa?
 
Yaani kweli post za humu huwezi tofautisha hii ya mwanaume au mwanamke, wanaume wekeni sheria nyumbani mwanamke akikiuka ni jibu mtumbue ebo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom