Sijui Kama ushawai fall in love ile haswaa..

Sijui Kama ushawai fall in love ile haswaa..

lusaka city

Senior Member
Joined
Mar 17, 2015
Posts
146
Reaction score
116
Sijui Kama ushawai fall in love ile haswaa..

yani unampenda mtoto wa wenyewe hadi akikupigia ile sauti ilivo tamu unajiskia kutafuna na kuimeza hiyo simu

Akikuita tu "my love"unajiskia tu kuvua nguo mwenywe
..
hicho kiupendo ukiwa nae unajskia unaweza piga wanaume 8 kwa pamoja

Yani ile love mtashinda pamoja kutwa nzima afu usiku unakopa salio umpigie muongee

Yani yale mapenz kiasi ukiona love story za romeo na Juliet unaona hakuna wanachofanya coz mapenz yao hayafikii yenu..

ile true love akikuangalia machoni akuguse mashavu afu akwambie,"I love u"
Unajishikilia kwenye ukuta usizimie..

yani ukimfikiria unaweza kulala chini ya kitanda Ku dilute hiyo feeling coz ni too much..

Umewahi kufeel hivyo??

Kama ushawai experience hivyo?? Basi HIYO SIYO "LOVE" NI "BANGI" PLZ ACHA KUTUMIA!
 
Kufall in love niwendawazimu huo jiulize ww ndowakwanza kwahuyo dem au man? Nakamaww niwakwanza basi jiulizetena ww ndoutakuwa wamwisho kwake? Sikakazi watu kupenda nahata nikiwakataza nenolangu sisheria lkn epuka sana wendawazimu wakufall in love utalisana angaliambele ww!
 
ni utahira tu unaoweza kukufanya hivyo.
 
weee cha Arusha ni kitamu wataalam wanasema kina virutubisho vikuu 12 na virutubisho vinginevyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom