Mama wa kambo kumchukia motto mtoto asiye wake ni asili yao au

samakinchanga

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
2,024
1,232
Maana roho mbaya huwavuvia kinamama wa kambo na kuanza kumtesa mtoto asie mzaa yaani wa mumewe hadi Kumnyima chakula n.k.hii roho hutoka wapi na tunaamini wanawake wana huruma?
 
Baba yeyote aruhusiye mwanae kuteswa na mama wa kambo ni wa kuhasiwa tu.

Yaani niruhusu Kisura wangu ateswe na mama wa kambo?

Abadani asilani katani!

Kwanza kwa jinsi Kisura wangu alivyo mwerevu hilo halitawezekana kabisa.

Daddy didn't raise no fool and every princess needs a dad in shining armor.
 
Back
Top Bottom