Wapi Alipopotelea Bantu Lady Mwenye Taarifa zake Tafadhali.Mnamkumbuka?

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,859
Wakuu nimemkumbuka mke wangu wa zamani Bantu lady long time sijamwona.
Mwenye taarifa zake anijulishe nahitaji tu kumsabahi nimemiss tabasamu lake matata.
Mke wangu wa sasa charty hana nongwa wanafahamiana uzuri tu.
Tafadhali popote ulipo Bantu jitokeze utoe salamu tu.Kama ulishabatizwa upya jina na invisible sio kesi nipatie jina lako jipya tafadhali.
Umekumbukwa sana na bibi,babu,shangazi,mjomba na ndugu woooote.
 
Kaka una bei gani niweke radar zangu sawa??? Nakuhakikishia atapatikana tuu
 
usijali utampata tu maadamu umefunguka wanajamvi watakusaidia
 
Amekula ban ya kifungo cha maisha, subiri mpaka rais atoe msamaha atakuja tu mkuu.
 
Back
Top Bottom