The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,897
- 19,078
Najiuliza sipati jibu. Nadate wamama watatu kwa wakati mmoja.
Kila mmoja anajifanya ananipenda sana, wananiganda sana kila mtu kwa wakati wake. Kila mtu anajifanya ananijali sana.
Sio mimi tu, hata jamaa zangu wanaodate na single mothers wanaelezea hali kama hiyo kwamba hao wamama wanajifanya kupenda sana na kujali sana.
Najiuliza huu upendo wanaouonyeaha hawa wamama ni wa kawaida kwao kwa siku zote au umekuja baada ya wao kuachwa na maji kuzidi unga.
Maana siwaelewi kabisa, hizi tabia wangewaonyesha wazazi wenzao yawezekana wasingeachana nao kabisa. Au ndio mbinu ya kuendelea kutukamua tutu, je familia?