Wanajamvi Heri ya mwaka mpya,
Wakuu Kuna hii tabia ya vibinti vyetu vya Leo yani ukiwa nae miezi miwili tu bila kujua Kuna wenzake wengine nao wapo kwenye chujio maalumu.
Basi wanaanza kero zao...
The more we argue the more we fall in love every life has up and down i do belive no one can set us apart except death let them judge me my love let them think the way they want i ain't regret to...
My love i have found this site jamiiforums it's very interesting with amazing people some understand how i feel some they don't others told me to put effort while others hates me but i can't feel...
Jamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninahitaji kupata mtoto na nimeonelea nitafute mwanamke/mdada ambaye yuko tayari kwa hilo kisha tukubaliane terms & conditions.
Ningependa mhusika...
Heri ya mwaka Mpya wana MMU, natumai wote ni wazima kwa kudra za mwenyezi Mungu tumeona tena Mwaka.
Leo ningependa tujikumbushe jambo dogo sana katika maisha Yetu tuwapo hapa duniani hasa katika...
Yaani wapo jamani Mungu kawapendelea ni warembo hata wanawake wenzao wanawakubali yaani kuanzia sura, kifuani,kiunoni, hips, huko nyuma, guu.
Mimi nimeona niwaeleze hayo, mwenye picha ya mfano...
Kuna dada mmoja wa kizungu ambaye tumejuana na tunawasiliana kupitia mitandao ya kijamii, urafiki wetu una miaka zaidi ya mitatu lakini simfahamu zaidi ya kutumiana mapicha, katika maongezi yetu...
MNASHINDWA KWENYE MAMBO MENGI KWASABABU HAMPO MAKINI , BADILIKENI
Kukosa umakini kwenye vitu ambavyo tunafanya kumekuwa chanzo cha matatizo makubwa sana.
Watu wengi wamepata hasara kubwa, watu...
Kama wewe ni mwanaume, basi bila shaka unafahamu ile milio na miguno ya wanawake wakati wa kujamiiana, na kama wewe ni mwanamke pia unafahamu kwamba huwa unatoa milio na miguno hiyo.
Ni nini...
Mwalimu mmoja aliita wanafunzi wake,
Akawaambia''Kesho kila mwanafunzi aje na nyanya kulingana na idadi ya watu anaowachukia, yaani kama unamchukia mtu mmoja uje na nyanya moja kama ni wawili basi...
UBONGO WAKO NI KAMA AKAUNTI YA BANK UNACHOWEKA NDICHO UNACHOTOA JUMLISHA NA FAIDA
UKIWEKA CHUKI / WIVU / DHARAU / FIKRA HASI ZINATOKA HIZO HIZO ILA VYOTE VINA DAWA, AMBAYO NI....
Kuna hisia...
Ndugu ZANGU,
Naitwa Udangu, baba yangu anaitwa Mafudu, baba yangu ana mke aitwaye Salima ambaye ni mama yangu mlezi.
Salima ana dada yake aitwaye Fatima, na huyu Fatima ana mtoto aitwaye...
Mm naitwa moody kabwe nina umri wa miaka 28
Nahitaji mke wa kuo ila mimi kwa sasa sina kazi niliachishwa kazi kipindi cha kampeni za uchaguzi na bos wangu yeye ni ccm baadala ya mimi kutekeleza...
Sure!, ni kweli kabisa kuwa men wanao complain frequently through social media na networks are more likely to suffer from stress, anxiety na wengine wana some form of depression lakini wa leo hii...
Naishi na binti mmoja wa kinyaramba....alisafiri kwenda singida kusalimu ...kwao sifahamiki lakini mama mkwe mtarajiwa kafurahi utadhan ananijua kwa sura....mwanae anavyorudi dar kampa zawadi ya...
Ningependa kusikia maoni juu ya hili,
Kwa upande wa wanaume kuna tofauti gani kati ya mke wa kutafutiwa yaani hapa ni kwamba wazazi wako au bibi na babu wanakuunganishia kwa msichana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.