ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,321
- 50,542
Wanaume tumetofautiana kama ilivo wanawake hivo mapungufu ni mengi. Kama ilivo kawaida huwezi kukosa wanaume wanaopiga wake zao kwasababu zozote wengine mingumi wengine viboko hata humu JF najua tupo wa kutosha tunaowaliza wanawake.
Swali langu la msingi ni, kupitia mawaidha ya wazee baadhi na hata wasanii wengi katika kazi zao wamekuwa wakitusihi kuwa tunapowapiga eti tuwapige kwa kutumia upindo wa kanga. Does it make sense? Ni kweli ndo atajifunza au statement hio ipo kwa ajili ya kuwa defence?
Usiniulize kama vipigo ni sahihi kwa karne hii Ilo kila mtu ana uelewea wake. Ninachotaka kujua ni ufafanuzi juu ya matumizi ya hio kanga.Inaleta maana halisi ya kipigo au ni ubwege kutumia hiyo kanga.