bambi_
Member
- Dec 16, 2015
- 52
- 19
Bwana wangu na mimi tuko kwenye mahusiano ni mwaka wa 3 sasa. Tulikubaliana tangu mwanzo hatutofanya hayo mambo mpka ndoa. Hivi karibuni amekuwa akinipressure na hataki kuelewa kuwa siko tayari.
Sababu yangu tangu mwanzo ni kwamba "mungu hapendi, ni kinyume na maagizo yake" lakini yeye anasema "kila mtu anafanya hivyo, usininyime. Sio vizuri kwanza, nikienda kulala na wengine utafurahi?". Asa mimi kwakweli sielewi wanaume kwanini mnathamini sana hicho kitu?
Nampenda sana na nina muamini mno kwenye kila mambo najua hachepuki ila nahisi kama nisipolala nae ataniacha lakini siko tayari kulala nae wakati huu KABISA!
Ni kero sana kwangu natamani sana asingekuwa hivyo. Na ninajua yeye ni wapekee hapa duniani kwasababu kanisubiri kwa miaka 3 sasa(wengine wasingeweza) akiniacha itakuwa vigumu kupata mwingine atakayekubali kuwa na mimi bila kulala na mimi na kweli sitaki tuachane.
Nitafanyeje aisee?