Sijui kama ushawai fall in love ile haswaa..
Yani unampenda mtoto wa wenyewe hadi akikupigia ile sauti ilivo tamu unajiskia kutafuna na kuimeza hiyo simu.
Akikuita tu "my love"unajisikia tu...
1. Atakua na simu kwa nyumba kidogo kidogo anakuambia umbeep ju hajui ameweka wapi!!
Tuhurumie Baba
2. Ako na furushi la nguo kwa nyumba lakini hanaga kitu ya kuvaa mkienda mahali!!
Tuonekanie...
Mnapokuwa bado warembo na chuchu zimesimama kama kifuu cha nazi mnakuwa na dharau sana tena sana, wanaume wanapokuja kuwachumbia mnawachambua kama karanga, mwisho wa siku mnaangukia pabaya na...
Wanajamvi,
Amani kwenu na heri ya mwaka mpya 2016.
Hii ni post yangu ya kwanza hapa kwa mwaka huu wa 2016. Kufanya hivi ni kuthibitisha pia kuwa bado nipo. Matumizi haya ya id fake unaweza...
HUWEZI KUDHIBITI KILA KITU, ACHA MAISHA YAENDELEE
Kila mmoja wetu anapenda kudhibiti vitu. Kuwa na uhakika wa kile anachofanya au anachotarajia kufanya. Kila mmoja angependa kujua na kuwa na...
SOMA HAPA UTAWEZA KUJIFUNZA KITU
Mwalimu mmoja wa Darasa aliwaiita wanafunzi wake akawaambia ''Kesho kila
mwanafunzi aje na nyanya kulingana na idadi ya watu anaowachukia, yani kama unamchukia...
ACHA KUJILINGANISHA NA WATU WENGINE KWANI WEWE NI BORA ZAIDI YAO
Kuna mtu ambaye ni mrefu kuliko wewe, au mfupi kuliko wewe au mzuri kuliko wewe.
Kuna mtu ambaye kazi yake au biashara yake ni...
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 47!Natafuta mwanamke mwenye maambukizi ya virus vya UKIMWI ili awe mke wangu na tuishi maisha ya matumaini sina vigezo vingine na sina ubaguzi wowote wa umri...
Suala la mwanamke kuzaa pasipo kuolewa sio geni siku hizi. Kuna wimbi kubwa la wanawake waliozaa bila kuolewa. Si lengo langu kuzungumzia sababu ya uwepo wa wanawake waliozaa bila kuolewa, lakini...
Fikiria kwamba umeoana na mwanaume/mwanamke na mnaishi kwa amani.
Ikatokea mmoja wenu hana uwezo wa kuzaa au kubeba/kubebesha mimba utafanyaje?
Mmehangaika sana bila mafanikio yoyote na umri...
Mwanaume mmoja aliwatongoza wanawake watatu tofauti na nia yake ni kufanya upembuzi yakinifu ili mmoja wao awe mkewe. Hivyo jamaa aliamua kuwapa jaribio kwa kuwapa Tsh. 500,000/= kila mmoja huku...
NAANDIKA HUU UZI NIKIWA KAMILI KITHAIKOLOJIANilikaa nikajiuliza iweje niteseke kiasi hiki? nilifikia hatua ya kumlaumu MunguEmmanuel Michaelkmkumbe sikujua kuwa God angenipatia mtu kama wewe...
Wanajamvi Heri ya mwaka mpya,
Wakuu Kuna hii tabia ya vibinti vyetu vya Leo yani ukiwa nae miezi miwili tu bila kujua Kuna wenzake wengine nao wapo kwenye chujio maalumu.
Basi wanaanza kero zao...
The more we argue the more we fall in love every life has up and down i do belive no one can set us apart except death let them judge me my love let them think the way they want i ain't regret to...
My love i have found this site jamiiforums it's very interesting with amazing people some understand how i feel some they don't others told me to put effort while others hates me but i can't feel...
Jamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninahitaji kupata mtoto na nimeonelea nitafute mwanamke/mdada ambaye yuko tayari kwa hilo kisha tukubaliane terms & conditions.
Ningependa mhusika...
Heri ya mwaka Mpya wana MMU, natumai wote ni wazima kwa kudra za mwenyezi Mungu tumeona tena Mwaka.
Leo ningependa tujikumbushe jambo dogo sana katika maisha Yetu tuwapo hapa duniani hasa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.