Umeshawahi fall in love?

Spinster

JF-Expert Member
Mar 19, 2012
487
138
yani unampenda mtoto wa wenyewe hadi akikupigia ile sauti ilivo tamu unajiskia kutafuna na kuimeza hiyo simu

Akikuita tu "my love"unajiskia tu kuvua nguo mwenywe
..
hicho kiupendo ukiwa nae unajskia unaweza piga wanaume 8 kwa pamoja

Yani ile love mtashinda pamoja kutwa nzima afu usiku unakopa salio umpigie muongee

Yani yale mapenz kiasi ukiona love story za romeo na Juliet unaona hakuna wanachofanya coz mapenz yao hayafikii yenu..

ile true love akikuangalia machoni akuguse mashavu afu akwambie,"I love u"
Unajishikilia kwenye ukuta usizimie..

yani ukimfikiria unaweza kulala chini ya kitanda Ku dilute hiyo feeling coz ni too much..

Umewahi kufeel hivyo??

Kama ushawai experience hivyo?? Basi HIYO SIYO "LOVE" NI "BANGI" PLZ ACHA KUTUMIA!!!
 
Hizo mambo Zipo kwa wanafunzi wa sekondari Kama ni mkubwa na unajiweza kipesa basi kumfikiria demu mmoja ni Udhaifu
 
Ha ha haaa nliwahi kujifeel ivo nkiwa chuo na mtoto mmoja hivi wa kinyarwada dadadeki kilichotokea mungu anajua.saiz nkiambiwa i luv u nasikiliza tu utazan naangalia bongo movie
 
hahahaha.... daaah post ya jamaa imenifurahisha.. but ukweli wengi tumepitia hatua hiyo.. and ilikua poa kwa kipind hicho nipo mwanafunz... ukikua mambo yanakua mingi so huez ukafanya hiyo mambo.
 
Ha ha haaa nliwahi kujifeel ivo nkiwa chuo na mtoto mmoja hivi wa kinyarwada dadadeki kilichotokea mungu anajua.saiz nkiambiwa i luv u nasikiliza tu utazan naangalia bongo movie

Mkuu, MWILI UMEKUFA ganzi, 'I love u' haikungii kabisa akilini! pole sana!
 
yani unampenda mtoto wa wenyewe hadi akikupigia ile sauti ilivo tamu unajiskia kutafuna na kuimeza hiyo simu

Akikuita tu "my love"unajiskia tu kuvua nguo mwenywe
..
hicho kiupendo ukiwa nae unajskia unaweza piga wanaume 8 kwa pamoja

Yani ile love mtashinda pamoja kutwa nzima afu usiku unakopa salio umpigie muongee

Yani yale mapenz kiasi ukiona love story za romeo na Juliet unaona hakuna wanachofanya coz mapenz yao hayafikii yenu..

ile true love akikuangalia machoni akuguse mashavu afu akwambie,"I love u"
Unajishikilia kwenye ukuta usizimie..

yani ukimfikiria unaweza kulala chini ya kitanda Ku dilute hiyo feeling coz ni too much..

Umewahi kufeel hivyo??

Kama ushawai experience hivyo?? Basi HIYO SIYO "LOVE" NI "BA NG" PLZ ACHA KUTUMIA!!!

Hahahahaha mhhh
 
Ha ha haaa nliwahi kujifeel ivo nkiwa chuo na mtoto mmoja hivi wa kinyarwada dadadeki kilichotokea mungu anajua.saiz nkiambiwa i luv u nasikiliza tu utazan naangalia bongo movie
Ahahahahaha Pole kaka warwanda shobo nyingi afu hawana msimamo katika mahusiano
Ingawa wazuri na wanajua mapenzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom