Nimsaidiaje Mpenzi wangu

socket

JF-Expert Member
Nov 21, 2014
305
431
Ni mwaka sasa nimekuwa kwenye mahusiano na huyu Dada na tatizo kubwa kwetu ni Mapenzi .

Tunaishi vizuri sana na tunaheshimiana like tuko pamoja japo tuko mikoa tofauti ila tatizo ni pale ninapoanza kuomba japo awe na Mda tufanye hata phone sex ndipo atatoa sababu nyingi basi namuacha kwa kumuomba akiwa na mda anianze yeye ila tunaona mwezi unapita.

Sasa najiuliza akiwa kwenye hot periods nani anamsaidia maana Mchepuko wangu anasema na ninaonyesha ushirikiano mpaka akojoa japo kwa simu.

Nimejaribu kumueleza kuwa kama Hana hisia na mimi bora nipite hivi ili Mchepuko uwe officially.
 
Last edited by a moderator:
Phone sex?? Ili kutiana minyege au ili kila mmoja afanye punyeto??

Anyway, kama ulikua hujui, mwanamke anaweza kukaa muda mrefu sana bila kufanya mapenzi, yaani sio issue...... Pia wewe inaelekea haupo busy.
 
is typing.......


Ngoja waamke nami nione maujanja ya wataalam wa mambo ya chini ya kitovu
 
Msaidie kwa kumpa namba ya mchepuko wako ili awe anamfundisha. Mjini kusaidiana baba.
 
  • Thanks
Reactions: waj
Shule si zimefunguliwa jana jamani???.haya ndio madhara ya kuwaacha watoto watumie simu hata wakiwa shuleni.
 
Kwa nini usimfungie safari kama kweli unataka kuosha rungu? Hiyo phone sex ni ujinga tu wa kisasa.
 
Unawaza chini ya kitovu sana punguza atakuona libwiken wa mapenz mrizishe kwa namna nyngne
 
Back
Top Bottom