ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,662
Heshima zenu wana MMU,
Ni Mwaka 2016 na mwezi wa kwanza ndo huo upo katikati unaelekea kuisha hii ni kuonesha kuwa siku hazigandi na dunia inazunguka.
Kilichonifanya niandike huu uzi ni kuhusu hili swala la MREJESHO! Mtu akiwa na tatizo hasa la mapenzi,huwa wanakuja mbio mbio na kuanzisha thread hapa kwa lengo la kuomba ushauri,matatizo ya ndoa katika jukwaa hili yamekuwa mengi sana,kutafuta mme au mke na mambo mengi ya kutaka wana MMU kutoa ushauri.
Bila hiyana wala kinyongo wengi wao huchangia na kuwapa watu ushauri ambao kwa hakika ukiufanyia kazi huzaa matunda kama utachanganya akili za kuambiwa na zako.
Sasa mimi huwa najiuliza unakuta thread ina miaka 2 mtoa mada bado anaendelea kuchangia kama kawaida haleti MREJESHO kama ushauri alio pewa ulisaidia au vipi.
Ni wachache sana ambao huleta mrejesho kutokana na ushauri alio pewa lakini wengi wao huwa wanakuwa wagumu kuleta mrejesho
Sasa mimi huwa najiuliza huwa ni stori za kweli au ni za kubuni tuu mtu anakuwa hajakutwa na matatizo hayo! Maana kama kweli una tatizo ambalo ni real na watu wakajikunjua kwa moyo mkunjufu kukupa ushauri lazima utupe majibu ushauri ulifaa au vipi.
Mkisha saidiwa mnasahau kabisa,ukisaidiwa kumbuka kurudisha fadhila hata kwa kusema asante tuu jamani nimefanikiwa au sijafanikiwa nimefikia sehemu fulani.
Wakati wa shida una kuta mtu anaelezea tatizo hapa hadi unatamani kulia na kujua kama ushauri utakao mpa utafaa akifanikiwa akiwa kwenye raha zake ndo kimya hadi baadae atakapo kuja kwa ID nyingine akiwa analialia.
Sometime mnawakatisha tamaa watoa ushauri humu ndo maana unakuta mtu akija na tatizo ambalo ni real tatizo watu wanasua sua kutoa ushauri wao kisa hakuna mrejesho wanao upata!
Lets say mtu anaanzisha uzi hapa Ooh mke wangu hataki kunipa papuchi Mara vuuu watu hao wanakupa ushauri unauchukua unaenda kuapply huleti mrejesho kama papuchi ulipata na ilikuwa tamu mara dufuuuuuu kwa kuongezewa pilipili na ndimu au ndo ulibaniwa mazima!
Guys hii sio siri inaniboa sana, mrejesho ni muhimu msijifanye mnauliza njia wakati wa kwenda tuu! Kuna story zinatungwa humu tamu hadi unatamani mrejesho upate siku hiyo hiyo lakini mtu anakaa miaka 2 haleti mrejesho.
Ni hayo tu! Mrejesho muhimu!