Kuna jirani yangu alifiwa na mume wake kwa ngoma anafaa?
Hutamkwa mgame au mgane?
Mimi ni mgane lakini nina 24 only. Vipi nafaa?
Hii dhana ya mjane na mgane iliwahi kuibua mjadala mahali fulani.... Kuna watu walikuwa wanadai eti mwanaume ni mwanaume tu hata kama amefiwa hapewi jina. Wakaenda mbali zaidi na kudai eti mwanamke anapewa jina ili ijulikane kuwa pale kuna nafasi watu watume maombi...lakini mwanaume hatumiwi maombi kwa hiyo haina haja ya kuwa na label hiyo ya 'mgane'....whether kuna nafasi au hakuna watu wengine hawatakiwi kujua sana maana yeye ndo mtumaji wa maombi
Dhana kandamizi aiseeee....
Kwani we ndio mtoa mada? Acha shobo, xio fresh!Hufai bado unanuka maziwa huo mzigo tuachie sisi wazee wa kazi tuu