Ni yupi kati ya hawa?

bbwaoy

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
466
467
Kwa wasio jua mwanamke ni mtu wa ajabu sana anaweza ku fall in love kunako sehemu asio tegemea. Yupi kati ya aina hii ya wanaume una penda sana kuaa nae au ungependa kukaa nae na ukawa happy.

1. Mpole
2. Mkimya
3. Mcheshi
4. Mjanja
5. Mwenye msimamo.
6. Mkali / mkorofi
7. Msafi
8. Muelewa
9. Anae jiamini
10. Mwenye heshima .

Sharti: chagua moja tu, au sifa moja tu.

Kumbuka sio wanaume wote wenye sifa hizo kuna wengine ni hopeless kabisa.
 
Yaani ungeweka hapo MWENYE HELA ndiyo ingekuwa namba pendwa!Wenzetu hawa ukiwa na mpunga ndiyo kwao utaitwa hendisamu boy hata kama unafanana na Kibwengo
Mimi mwenyewe nimetafuta hiyo sijaiona,imebidi nichague 10 tu maana hakuna namna.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom