Amanijua
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,776
- 1,612
Jamani katika vitu vinavyonikera ni hii ya kuacha vifua/matiti/manyonyo wazi.Huwa naona bora mtu avae nguo fupi kuliko kuweka matiti wazi.
Nikifikiria jinsi mtoto anavyozaliwa na mpaka kukua kupitia chakula hicho ambacho wengine ndo wanaweka wazi huwa naumia na kuchukia sana.
Mshana Jr. atanisaidia kuweka picha.
Nikifikiria jinsi mtoto anavyozaliwa na mpaka kukua kupitia chakula hicho ambacho wengine ndo wanaweka wazi huwa naumia na kuchukia sana.
Mshana Jr. atanisaidia kuweka picha.