Namtafuta mpenzi

ole ole

Member
Jul 13, 2015
56
19
Awe na kuanzia miaka 20 hadi 27..asiwe na mtoto..elimu haina shida..vitu vingine sijali...asiwe amewahi kuchumbiwa...basi....
 
Jieleze vizuri mkuu kusudi hawa dada zetu wapate pakuanzia maana hapa kama huna mtonyo mmh....!
Subiri waje wenyewe.
 
Sasa ndugu nikiweka cv hapa itakua shida maana watafuata mpunga... staki aje kihivyo ntajuaga huko...wanaume wanakoseaga kujipamba saaana..mimi siwezi...ni hivyo kama ananitaka atanifaham polepole....na hope awe mzuri tabia tutashauriana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom