Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

KITU CHA KUFANYA PALE WATU AMBAPO HAWAKUAMINI KAMA UNAWEZA KUFANYA Kama unataka kufanya jambo jipya, kama unataka kufanya jambo tofauti na wengine walivyozoea kufanya, naweza nikakuhakikishia...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
NI VIGUMU LAKINI INAWEZEKANA Kusamehe kuna faida nyingi sana kwa anayesamehe hasa pale unapoamua kusamehe bila hata kuombwa msamaha na kusamehe yale ambayo kibinadamu hayasameheki. Siwezi...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Mm ni kijana mwenye umri miaka 25 elim degree mkristo mcheshi ninajitambua natafuta msichana mwenye umri miaka kati ya18_25 dini yoyote rangi yoyote isipokuwa asiwe mweusi sana elim kuanzia 4m4...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Nimefanya biashara ya wake za watu kitambo sanaa. Nina uzoefu wa miaka si chini ya 5 katika fani hii, na mwaka huu 2016 nimekata shauri...
29 Reactions
180 Replies
40K Views
Kama ilivyoandikwa hapo juu kuna hasara au faida gani kuwa kimahusiano na mwanamke ambae amezalishwa na mwanaume mwingine.?
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Habari wakuu, Mimi ni mgeni humu naomba kuongea kitu. . . . Nilipokuwa na miaka 12 nikiwa kwetu mtwara nilianza kuujua ulimwengu wa mapenzi...Na aliyenitambulisha si mwingine bali ni Mwasi...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Nimeamini juu ya haya maneno.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanajamvi habari za leo, Kwa hakika nimeleta wazo langu hili hapa jamvini lengo langu kubwa ni mwanamke wa kiarabu.Sifa na mambo mengine tutaeleweshana tutakapo kuwa tumewasiliana
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Habari wakuu, Juzi kati nilipata kusikia kwenye BBC kwamba ndoa nyingi siku hizi Uingereza takribani aslimia 70 ni za serikali nilishtuka kidogo, ina maana Ulaya watu hawataki tena kufunga ndoa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
CHAGGA WOMEN First Date: You get to buy her Amarula (or Redds), mbuzi choma and dance the whole night. You have to buy her credit, to organize for the second date. Second Date: You get to buy...
2 Reactions
16 Replies
8K Views
Awe na kuanzia miaka 20 hadi 27..asiwe na mtoto..elimu haina shida..vitu vingine sijali...asiwe amewahi kuchumbiwa...basi....
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kule uswahilini mara nyingi ndiko kunakosikika hili neno,naomba kuuliza, jambo lenyewe ni kubemenda mtoto. Sijawahi kuona mtoto aliyebemendwa. Hivi ni kweli kitu hicho kipo? na kinasababishwa na...
0 Reactions
21 Replies
10K Views
Heshima zenu wana MMU, Ni Mwaka 2016 na mwezi wa kwanza ndo huo upo katikati unaelekea kuisha hii ni kuonesha kuwa siku hazigandi na dunia inazunguka. Kilichonifanya niandike huu uzi ni kuhusu...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Unapoingia katika mahusiano ya kimapenzi sio lazima yaishie kwenye ndoa. Mahusiano mengine yapo uli ujifunze jambo.Kuna migogoro, tabia mbaya, kila aina ya ubaya, uongo, kutoendana tabia. Haya...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Zamani niliamini jambo hili linawezekana. Lakini kupitia uzoefu wangu nimeona jambo hili haiwezekani. Nitashare nanyi uzoefu wangu. Nimewahi kufahamiana na wadada kadhaa katika pilikapilika...
4 Reactions
38 Replies
6K Views
Salam JF. Kuna jambo kama mwana jamii linanicha na maswali mengi sana, si lingine nalo ni jambo hili la tohara. Una jua linapokuja swala la kijamii kuna maswala lazima yatofautiane baina ya...
0 Reactions
22 Replies
12K Views
Ni mwaka sasa nimekuwa kwenye mahusiano na huyu Dada na tatizo kubwa kwetu ni Mapenzi . Tunaishi vizuri sana na tunaheshimiana like tuko pamoja japo tuko mikoa tofauti ila tatizo ni pale...
1 Reactions
98 Replies
13K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nafuta mimi ni mdada wa miaka23 natafuta marafiki bila kujali jinsia umri23-30. Karibuni kwa pm
0 Reactions
6 Replies
2K Views
1. VIPWENTE- hawa ni aina ya wapenzi ambao yeye anaweza akakumisi hadi anahisi network zinakata lakini hakutafuti ng'ooo iwe kwa meseji au laivulaivu kwa sababu hataki kuonekana yeye ndo wa kwanza...
2 Reactions
25 Replies
6K Views
Natafuta mgane 50+ kama upo serioua just PM me.
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Back
Top Bottom