Mussa waukweli.
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 534
- 317
Kama ilivyoandikwa hapo juu kuna hasara au faida gani kuwa kimahusiano na mwanamke ambae amezalishwa na mwanaume mwingine.?
Mwanaume ni tofauti na mwanamke ndo maana mwanaume anaweza akaoa wanawake zaidi ya mmojaVipi kuhusu mwanaume aliyezalisha wanawake wengine, tuanzie hapa kwanza! ! !
Maada yako haina mashiko,Ina maana kutoa mada mpaka niwe mimi wewe vipi kama huna cha kutoa acha kuchagia
Na bado wanawake hao aliyezalisha wataolewa na wanaume wengine so ngoma drooMwanaume ni tofauti na mwanamke ndo maana mwanaume anaweza akaoa wanawake zaidi ya mmoja
Ahsante kwa maoni yako mtu wanguTatizo hamjakua bado makinda. tukianza kutoa michango ya kikubwa mtaona tumepitwa na wakati lakini ndio ukweli wenyewe. Maoni yangu na uzoefu pia. Hakuna tatizo lolote kuwa na mahusiano na mwanamke mwenye mtoto/watoto. Muhimu je mnapendana?????kama mnapendana penzi mtakalopeana ni sawa tu na hakuna tofauti na yule ambaye hajaza. Kinachowasibu ni kile kwamba anaweza kukumbushia na wanaume wake wa zamani. Hilo sio issue, kwani mwanamke ambaye hajazaa hawezi kukumbushia na wapenzi wake wa zamani??? au wewe uko kwenye test?? labda ni kwambia test kwa hao wawili ni ile ile hakuna tofauti, tofauti inakuja unapoweka question mark hapo utaona tofauti lakini nyama ni ile ile tu.;
Umetisha sana mtu wangu aisee #tupakuleMwenye mtoto tayari achana nae
Unatafuta vurugu tu,asikudanganye mtu eti mnapendana inatosha...unaitafutia ma logistics yasiyo na maana...mtapendana ila in the course of marriage upendo hautakua mkubwa hivyo hivyo,mtoto na baba yake na ma drama mengine yatawasumbua
Wacha huo ufala,tupa kule,oa asie na obligations tayari,muanze upya bila other attachments
Wee oa halafu una kichwa chepesi cha panzi halafu ukaja kuanza kulia lia hapa
Inategemea wanawake wengine vichaaaaaAiseeeee??????!! kwa mawazo haya mnayowaza baadhi kwa sie single mother, nipo radhi niishi na mwanangu tu milele.
Japo wapo wanaume wanakuwa na single mothers hadi mtu unawaza kwanini asingekuja huyu kabla sijapata mtoto, unapendwa wewe na mtoto wako hadi unasahau kama mtoto ana baba yake mzazi.
Ahsante mtu wangu pia kwa point yako.Oa yule ambaye baba wa mtoto wake ametangulia huko motoni/Mbinguni na kama bado mzima siku shauri ingawa mwanamke km binadam mwenzako kiutu bado ana hitaji pia mwanaume mwingine
Over
Ahsante xnbkwa point yako nzuriFaida utapigiwa tu na mwenzio maana uhusiano wao hautaisha so ujiandae kisaikolojia tu
Hahahaahha mnakumbushiana mwisho wa siku mimba ndo mwanzo wa kulea mimba isiyo yako.Km na ww umezalisha nje oa tuu huyo aliye zalishwa maana wote mtakua mnakumbushia
Inasemekana kwamba mwanamke mwenye mtoto/watoto anaupendo wa hali ya juu. Wenye ushuhuda huo wanaweza kuutoa.Kama ilivyoandikwa hapo juu kuna hasara au faida gani kuwa kimahusiano na mwanamke ambae amezalishwa na mwanaume mwingine.?