The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,675
- 2,807
Habari wakuu,
Juzi kati nilipata kusikia kwenye BBC kwamba ndoa nyingi siku hizi Uingereza takribani aslimia 70 ni za serikali nilishtuka kidogo, ina maana Ulaya watu hawataki tena kufunga ndoa kidini? Ama wao sio wadini tena? Na kama ndoa nyingi ni za serikali divorce rate si zitakuwa kubwa sana? Maana imani nyingi zan dini hakuna kuachana.
Mwisho kabisa hili suala linatufundisha nini sisi tulioletewa dini na hao wazungu?
Ni hayao tu wakuu