Natafuta mwanamke wa kiarabu

Nkungulume

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,988
1,209
Wanajamvi habari za leo,

Kwa hakika nimeleta wazo langu hili hapa jamvini lengo langu kubwa ni mwanamke wa kiarabu.Sifa na mambo mengine tutaeleweshana tutakapo kuwa tumewasiliana
 
Wakati unaendelea kusubilia waje Jiburudishe na hiki kibao kikali siku ukija ishiwa uuze kwako kule Madael ukaishi zako kwenye Tandale

hahahahah kwenye maisha lazima ujiwekee malengo makubwa,kila la heri mkuu
Wanajamvi habari za leo,

Kwa hakika nimeleta wazo langu hili hapa jamvini lengo langu kubwa ni mwanamke wa kiarabu.Sifa na mambo mengine tutaeleweshana tutakapo kuwa tumewasiliana
 
Mi mMongolia.......lakini sio mbali sana na Arabuni.........nije....?..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom