Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 643
Salaam wakuu...
Kwanza namshukuru Mungu kwa kunipa nafasi ya siku ya kuiona ijumaa lengo la kuanzisha thread ni kuojiana na hawa watu mimi nawaitaga malimbukeni yaani hawawezi kuishi maisha yao wenyewe wao kazi yao ni kuangalia maisha ya yule kafanyaje,kalaje na wao waishi maisha hayo ya huyo mtu
wengine wana jiita vijana wana tafuta hela kwa shida na mwisho wanaishia kwenda kununua nguo ya bei kali na yeye aonekane na mishoni anaishi kula ugali na picha ya samaki.
Wengine ni wale wanaokaa tandale wanafunga safari na kwenda oysterbay eti kutafuta location ya picha ili waonekane watu wa majuu kwenye mitandao ya kijamii wewe ishi maisha yako
Wengine wanamiliki smatphone ya laki tatu halafu kutwa wapo online whatsup,jf,fb,instagram huku wanajifanya matawi ya juu wakati hawana kazi na wanaishia kula ugali nyumbani wewe uza smart ukauze karanga ishi maisha yako..
Kuna wengine malimbukeni hawataki kutaja wanapokaa eti wanaogopa hawatapendwa wewe ishi maisha yako usiazime
watakupenda tu hao wadada
Wengine ni hawa wanajiona wanaume wa kweli kuwa na michepuko sasa mlioa ili iweje acha ulimbukeni ishi maisha yako