webondo
JF-Expert Member
- Apr 29, 2012
- 1,713
- 382
Ndugu zangu hapa jamvini; Kati ya vitu amvayo vinanikera kwa kina dada basi ni kuvaa WIGI na KUJICHUBUA. Yaani katika maisha yangu hakika nimeshindwa kabisa hata kuwa na mahusiano na mwanamke wa aina hii, hata akiwa na kishepu chake akishakuwa tu na hayo mambo mawili basi huyo hanifai tena. WIGI unakuta hadi linanuka.. lakini mwanamke analo tu. Kujichubua nako ndo balaa zaidi maana hadi inakera. Ndugu yangu wewe vipi??