unakua mke bora unapomsaidia mumeo katika malengo yake ya kimaisha. unampa support wakati hana kitu

saddyy

Member
Dec 28, 2014
58
54
unakua mke bora unapomsaidia
mumeo katika malengo yake ya
kimaisha. unampa support wakati
hana kitu mfukoni. wamsaidia kupata
mafanikio. wacha kumkera na mambo
asoyaweza. ridhika na akupacho. mtie nguvu na umsifu wakati mawazo
yamemzonga. kuwa naye bega kwa
bega asijihisi mpweke. mkumbushe
kuhusu subra kwenye ndoa, kupata na
kukosa yote yatoka kwa Mungu. ukijua
umemkosea jaribu kumskiza mumeo hata kama anahasira nawe.
anapokukosoa omba samahani kisha
mtulize kwa upole na unyenyekevu
ukiahidi hutorudia kosa hilo.
 
Inapendeza zaidi tukifanyiana wote hayo. Sio sisi tunajipinda kuwafurahisha halafu nyie hamuonyeshi ushirikiano wa kufurahia na kuridhikia kwa yale tuwafanyiayo
 
Mke wa hivyo mimi simtaki

Mke amsifie boss wangu kesho nikasirike nijenge kiwanda changu
 
Back
Top Bottom