chameleon
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 555
- 170
Nina hamu nimpate mtoto wa kike au wa kiume. Kifupi mimi nimeoa mke wa tatu sasa baada yule wa kwanza kutimuana na wifi zake kwa kisa cha kumfumania na mume wa mmoja kati yao.
Wa pili tuliachana naye baada ya kuzaa na mzungu ambaye anadai ni padri na kutoroka yeye na mwanaye.
Huyu niliyenaye ni mwaka wa 5 sasa hata ujauzito hapati. Natamani achepuke na mtu wa kufanana na mimi ila asiniambie lakini anaweza itunza siri? Mawifi nao wameanza vidomodomo nifanyeje niuwe kwa bunduki yangu yenye risasi za bandia? Nipeni ushauri maana sipati faraja nionapo utajiri wangu wa pesa, nyumba na magari bila mtoto.