BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,198
Ashukuliwe Mungu kwakuwa ni mwingi wa rehema na hutusamehe zambi zetu na kuzifuta na kuzisahau.
Washukuriwe wadada wanaokubali kulea watoto baada ya kukimbiwa na wanaume.Washukuriwe madaktari kwa kutunza siri za wagonjwa.
Mada inahusisha baadhi ya wanawake ambao hawako kwenye ndoa wanaotoa mimba ili apate nafasi ya kuendelea kufurahia maisha bila buguza na kuepuka kupoteza mvuto pindi akizaa mtoto.
Hawa wasichana wangeamua kulea hao watoto wangeweza kuendelea kuwa na uzuri wao wa asili. kwakuwa uzuri wa mwanamke upo kwa yule anayehusiana naye (in the eyes of beholder) Mawazo yangu kama wewe una mvuto, utaendelea kupendwa tu hata ukiwa na mtoto, usihatarishe maisha yako na kuchuma dhambi za bure kwa hilo.
Kwa wanaume tuwajibike kwa tunayowafanyia hawa akina dada! Kuliko kuendelea kutangaza CV yako kuwa huna mtoto kumbe umesababisha dada wa watu akwepe social stigma na kufikiria atapoteza mvuto /hata pata mwanaume kiraisi wa kumuoa akiwa na mtoto.
Karibu wadau
This is another part of me