Pita hapa utoe ushauri: Hii inawezekana?

geometry

JF-Expert Member
Oct 30, 2014
466
356
Habari za Jumatatu wanajamvi,

Direct to the topic,Je inawezekana kuwa na mahusiano na mwanamke alienizidi umri wa miaka 5, yani nikitembea nae huwezi kugundua kama tuna date, utahisi tu ni mtu na mdogo wake, hii huwa inanifanya nihisi inferiority na kutokujiamini.

Naombeni ushauri wenu
 
Miaka mitano ni mingi aisee physically tu gepu linaonekana, lkn anyway endelea tu kama mnapendana, halafu nataka kujua wewe ni ke au me?
 
aiseee mi na hii miaka 17 yangu hiyo bahati si inipate uone tutakavyo jimwayamwaya kitaa yaani utasema mm ndo mkubwa kwake........nimemaliza!
 
Habari za Jumatatu wanajamvi,

Direct to the topic,Je inawezekana kuwa na mahusiano na mwanamke alienizidi umri wa miaka 5, yani nikitembea nae huwezi kugundua kama tuna date, utahisi tu ni mtu na mdogo wake, hii huwa inanifanya nihisi inferiority na kutokujiamini.

Naombeni ushauri wenu
duuh kama amekuzidi miaka 5 lakini haonyeshi hapo poa, lakini kama anaonyesha waziwazi kua amekuzidi bro achana nae, wanawake wapo wengi, au huyo ana nini hadi umeamua ku trade hiyo ishu ya kuzidiwa umri? is it worth it??
 
Back
Top Bottom