Th3the
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 1,233
- 1,654
Mara nyingi huwa naona post nyingi sana za kuwaponda hawa viumbe lakini kwa kweli kiuhalisia wamekuwa watu wa muhimu katika maendeleo yoyote kwa wanaume, huwa wanatupa suport sana ....nikianza na mama nadhani kila mtu anafaham mchango wa mama katika maisha yake hivyo pale wanapofanya mambo mazuri tuwape haki ya kuwa sifia jamani au sio...hebu dondosha sifa moja kwa mwanamke yeyote aliyeku suport katika mafanikio yako.