Sasa nahitaji kupata mke mwalimu

libumi

Member
Oct 1, 2015
58
13
Rejea kichwa cha post hapo juu,

Ila awe anaishi sehemu moja kati ya hizi kwa sasa Dodoma, Morogoro na Dar au katikati ya maeneo tajwa,kama ni muislamu basi akubali kuwa mristo baadae,tabia njema ndo kipaumbele japo black woman ni sifa ya ziada kwangu, si vibaya akawa na umri usiozidi 27 mpenda maendeleo, awe serious coz wengi hawako serious.

Kama ni mhusika njoo PM.
 
rejea kichwa cha post hapo juu,ila awe anaishi sehemu moja kati ya hizi kwa sasa dodoma,morogoro na dar au katikati ya maeneo tajwa.kama ni muislamu basi akubali kuwa mristo baadae,tabia njema ndo kipaumbele japo black woman ni sifa ya ziada kwangu,si vibaya akawa na umri usiozidi 27.mpenda maendeleo .awe serious coz wengi hawako serious. kama ni mhusika njoo PM.
Mkuu wewe umeomba maelezo ya mwenzio....awe mkristo,black etc black woman,mpenda maendeleo pasipo kuelezea sifa ulizonazo wewe mwenyewe!! anyway nipe sababu tatu tu za kupenda kuwa na mke mwalimu...
 
Naamini ni wepesi kuelewa unapotoa hoja juu jambo lolote ili litekelezeke na mengineyo mengi
 
Last edited:
Walimu
1. Nature ya kazi inamfanya asiwe na mambo mengi kwa kuzingatia tabia njema, mavazi yenye staha, kulea familia kama mama bora na maendeleo kwa kubudget kipato kidogo.
2. Mda wa kazi unakuwa defined.
3. Pia kazi inamfanya awe kioo cha jamii kwa maana pale atakapotaka kufanya ujinga watu wengi ktk jamii wanakuwa wanamfahamu.

Ingawa kuna waalimu wachache saivi wanavuka hii mipaka hata hivyo sio wengi.
 
wako wengi huku jukwaani utawapata tu..ila kuwa makini ni hizo assumptions zako juu yao.
 
Pole sana, wake walimu wote wameshaolewa. Si rahisi kupata mke Mwalimu.
 
rejea kichwa cha post hapo juu,ila awe anaishi sehemu moja kati ya hizi kwa sasa dodoma,morogoro na dar au katikati ya maeneo tajwa.kama ni muislamu basi akubali kuwa mristo baadae,tabia njema ndo kipaumbele japo black woman ni sifa ya ziada kwangu,si vibaya akawa na umri usiozidi 27.mpenda maendeleo .awe serious coz wengi hawako serious. kama ni mhusika njoo PM.
Kuna post ya uhamisho wa walimu iko STICKY, tembelea kule naamini hutakosa mwandani wako
 
Walimu
1. Nature ya kazi inamfanya asiwe na mambo mengi kwa kuzingatia tabia njema, mavazi yenye staha, kulea familia kama mama bora na maendeleo kwa kubudget kipato kidogo.
2. Mda wa kazi unakuwa defined.
3. Pia kazi inamfanya awe kioo cha jamii kwa maana pale atakapotaka kufanya ujinga watu wengi ktk jamii wanakuwa wanamfahamu.

Ingawa kuna waalimu wachache saivi wanavuka hii mipaka hata hivyo sio wengi.
Nilitaka kukupinga lakini chini umemalizia kwa kuandika vizuri sana.
 
Njia za kupata mke mwalimu mimi nazijua mbili tu. Kwanza nenda vyuoni mwenyewe utajua utafanya upate mke bora. Pili kama unarafiki mwalimu jaribu kumtumia huyo rafiki kukufanyia upelelezi katika eneo lake na kwa wengine anaofahamiana nao.
NB: Kua makini sana na walimu ambao vituo vyao vya kazi vipo mijini, hawa wengi maadili ya ualimu yameshawatokamo.
 
Mkuu wewe umeomba maelezo ya mwenzio....awe mkristo,black etc black woman,mpenda maendeleo pasipo kuelezea sifa ulizonazo wewe mwenyewe!! anyway nipe sababu tatu tu za kupenda kuwa na mke mwalimu...
Waalimu huwa hawana safari za kwenda semina wala training. Wao ni January hadi december wapo tu maana hata kipindi cha likizo huwa wanapangiana zamu za kuja kusimamia usafi
 
Njia za kupata mke mwalimu mimi nazijua mbili tu. Kwanza nenda vyuoni mwenyewe utajua utafanya upate mke bora. Pili kama unarafiki mwalimu jaribu kumtumia huyo rafiki kukufanyia upelelezi katika eneo lake na kwa wengine anaofahamiana nao.
NB: Kua makini sana na walimu ambao vituo vyao vya kazi vipo mijini, hawa wengi maadili ya ualimu yameshawatokamo.
Pia ajaribu kuwa karibu na maafisa utumishi wa halmashauri zetu.
 
Nipo hapa na Huwaga nipo kanda ya kati ila utanisubiria maana npo nnje kdogo ndo tuanze calls zetu kipaumbele kucheki UkiMwI kwanza.
 
Walimu
1. Nature ya kazi inamfanya asiwe na mambo mengi kwa kuzingatia tabia njema, mavazi yenye staha, kulea familia kama mama bora na maendeleo kwa kubudget kipato kidogo.
2. Mda wa kazi unakuwa defined.
3. Pia kazi inamfanya awe kioo cha jamii kwa maana pale atakapotaka kufanya ujinga watu wengi ktk jamii wanakuwa wanamfahamu.

Ingawa kuna waalimu wachache saivi wanavuka hii mipaka hata hivyo sio wengi.
Mkuu kapange maeneo ya DUCE
 
Back
Top Bottom