Dr.nathan
Member
- Feb 17, 2014
- 76
- 31
Simtetei mwanamke lakini naongea ukweli waswahili walisema "Nani kama mama"
Wasomi wakasema "Ukimsomesha mwanamke mmoja umesomesha taifa zima"
Wazungu wakasema "Ladies first"
Biblia imesema "Tupate wapi wanawake waombolezaji"
Mimi nasema "Ukimuumiza mwanamke mmoja umemuumiza MUNGU na taifa zima"
Wanaume tuwaheshimu wanawake ndipo tutafanikiwa katika kila tulifanyalo.