wambagusta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 2,825
- 2,291
Najuta kwanini nilimpa nafsi shetani nikaachana na kipenzi changu .sasa hivi kila demu nitakaye mpata Majanga .hata yure wa kipindi kire nilipo kuwa homu kwa mzee kitaa ambaye naye niliachanae nikamtafuta akaniereewa. Duuh sasa naye kawa muhuni ! mnyoa viduku ! mvaa nguo fupi !mcheza shoo ! anakunywa bia ! Najuata nalia kwanini niliachana na wangu kipenzi alinivumilia sana lakini mie sikuherewa. !wadau nimeamuwa ni hii ya update hii thread yangu wadau kiswahili sijui kuandika vizuri naomba msinihukumu!