Onyesha mwenza wako wasikuhisi midimpozi

kyalankota

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
2,594
Reaction score
1,463
Siku hizi vijana wa kileo wamekuja na mpya eti usipowaonyesha mwenza wako wanahisi haupigi kazi, jogoo hawiki, joka wa kibisa n.k. Kama haitoshi wametoa na neno jpya kuwa eti utaitwa midimpozi kwa maana ile ile ya kuwa huwezi kumshughulikia mwanamke wako kwa tendo lile mahususi la mapenzi.

Kazi kwenu vijana wa kileo, kidigitali, kizazi cha smartphone, kizazi cha instagram, Twitter, Facebook, whatsapp, n.k kuonyeshana wapenzi wenu ili msihisiwe vibaya na kupewa majina kibao na mbaya zaidi kudhalilishana mitandaoni.

Ni hayo tu. Matusi, lugha chafu hapa si mahali pake kama huna point ya kuchangia pita kimyakimya kama vile hujaona kitu. Kama imekugusa kwa namna moja ama nyingine vumilia tu ama waonyeshe tu mtu wako.
 
Siku hizi imekuwa fasheni kabisa tena ukidumu na demu within 6 months wanaibuka na kusema mengine
 
Siku hizi vijana wa kileo wamekuja na mpya eti usipowaonyesha mwenza wako wanahisi haupigi kazi, jogoo hawiki, joka wa kibisa n.k. Kama haitoshi wametoa na neno jpya kuwa eti utaitwa midimpozi kwa maana ile ile ya kuwa huwezi kumshughulikia mwanamke wako kwa tendo lile mahususi la mapenzi.

Kazi kwenu vijana wa kileo, kidigitali, kizazi cha smartphone, kizazi cha instagram, Twitter, Facebook, whatsapp, n.k kuonyeshana wapenzi wenu ili msihisiwe vibaya na kupewa majina kibao na mbaya zaidi kudhalilishana mitandaoni.

Ni hayo tu. Matusi, lugha chafu hapa si mahali pake kama huna point ya kuchangia pita kimyakimya kama vile hujaona kitu. Kama imekugusa kwa namna moja ama nyingine vumilia tu ama waonyeshe tu mtu wako.
Na mdada asipoonesha anaitwaje?
 
Watu wengi inawafanya wanachukua mademu wasioendana nao kisa kutafuta kuwaridhisha washikaji.

We kama ni mwanaume wa kweli uwezi kuanza kutafuta umaarufu kwa kuwaonesha watu nawewe upo vizuri.....fuata malengo yako kwanza vinginevyo utaharibikiwa maisha kwa kutafuta umaarufu wa wewe kuonekana upo vizuri. Kama una demu zako we buruza tu unavyotaka mwisho wa siku wajisikie aibu tu we umeanzisha familia hao qanagombea kuwa na madem wakali we ukiwa na familia bora.
 
Siku hizi vijana wa kileo wamekuja na mpya eti usipowaonyesha mwenza wako wanahisi haupigi kazi, jogoo hawiki, joka wa kibisa n.k. Kama haitoshi wametoa na neno jpya kuwa eti utaitwa midimpozi kwa maana ile ile ya kuwa huwezi kumshughulikia mwanamke wako kwa tendo lile mahususi la mapenzi.

Kazi kwenu vijana wa kileo, kidigitali, kizazi cha smartphone, kizazi cha instagram, Twitter, Facebook, whatsapp, n.k kuonyeshana wapenzi wenu ili msihisiwe vibaya na kupewa majina kibao na mbaya zaidi kudhalilishana mitandaoni.

Ni hayo tu. Matusi, lugha chafu hapa si mahali pake kama huna point ya kuchangia pita kimyakimya kama vile hujaona kitu. Kama imekugusa kwa namna moja ama nyingine vumilia tu ama waonyeshe tu mtu wako.

Binafsi sidhani kama kumuonyesha au kuonyesha kuwa una mpenzi na unampenda au mnapendana kwa dhati kama ni jambo baya. Lakini kitendo hicho kinaweza kuwa kibaya endapo nia madhumuni ya kufanya kitendo hicho hayakuwa chanya.

Hivyo kabla ya kufanya kitendo hicho embu jiulize maswali yafuatayo:
  1. Ni nani unayetaka kumuonyesha kuwa una mpenzi au wewe na mpenzi wako mnapendana kwa dhati?
  2. Je, ni sababu ipi inayokufanya wewe uonyeshe kuwa una mpenzi na mnapendana kwa dhati?
 
Back
Top Bottom