Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,231
MADHARA 12 YA KUTOFANYA MAPENZI
KWA MUDA MREFU.
1. Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo.
2. Kupendelea sana kuangalia picha za uchi.
3. Kusahausahau.
4. Kupendelea story za mapenzi.
5. Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (mke).
6. Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatiliamambo yasiyokuhusu),
7. Kuumwa na kichwa,
8. Kukakamaa mgongo (wanaume)
9. Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,
10. Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),
11. Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,
12. Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala kama ulevi n.k.
(Kwa hisani ya wataalamu)