Imebidi nijiulize hili swali, hivi mtu mbinafsi yuko vipi? Je mimi ni mmoja wao?
Kwa mfano nikitaka kitu changu huwa sina compromise, when pursuing something huwa sijali wengine wanafikiri nini as long as I do not step on their feet, I can give up a relationship for it kama nikiona inaniwekea usiku, napokuwa na mipango yangu sitaki niingiliwe. Nikichukua msimamo ndio huo huo sibadiliki japo hujipa muda na fikra nyingi kabla ya kuchukua msimamo.
Huwa sipendi kuwategeme watu, na vile vile sipendi watu wanitegemee, I hate favours na gifts, mara nyingi I will turn them down ila na mimi I hardly give favours na gifts.
Mfano I was in a relationship, nilianza project moja ambayo ilikuwa inakula sana muda wangu na mwenzi wangu kwenye uhusiano akawa analalamika sana, kwa kweli sikuridi nyuma pamoja na malalamiko yake, ilikuwa sehemu ya kutimiza ndoto zangu. Upande wa pili yeye ndoto yake kubwa ilikuwa awe professional accountant, akawa anafanya ACCA, alipata chance ya kwenda kumalizia UK sasa akawa anasita sita, alikuwa anafikiria uhusiano wetu utakuwaje akiondoka, mimi nilimpa moyo nenda mama its your dream! Basi akaenda, kama miezi minne kule ananiarifu kampenda jamaa mwingine, well nikamwambia kama umempenda kweli na upo happy, nakubali matokeo japo nitakumisi sana. Your happiness should come first, pamoja na machungu yangu, part of me imeridhika kama tu utakuwa na furaha.
Ndio falisafa yangu, live and let live, don’t give up your happiness for anything, don’t give up your dreams for anything but do not step on other people’s feet!
Je mimi ni mbinafsi?
I just want to know japo sina mpango wa kubadilika.