What should I do about this long distance relationship?

Anonymous101

Senior Member
Sep 21, 2015
176
66
Okay ni hivi, my boyfriend is in Canada and I'm soon going to another country.

Yeye anasema ana mpango tuoane in the future lakini mimi sina huo mpango nae kwa kweli. We are both 20 na sitaki kuwekeana such promises at this time.

Tatizo jingine ni kwamba tuna dini tofauti. I can't marry someone of a different faith from mine. The question is how do I end this relationship?

We have been together for over a year now even though last year tulizinguana but we are cool now. I don't want to keep on wasting his time.

Lakini vilevile I can't break up with him now because I wouldn't want our situation to affect his studies or mine. Najilaumu hata kwanini nilikubali kuwa naye na sasa hivi sijui nifanyeje.

Naombeni ushauri wenu tafadhali.
 
Msingi wa maisha Ni kusoma!! Jitahidi usome!! Huo ndio ushauri wangu
 
Kaza buti na kitabu, mapenzi yapo kila kukicha yana ibuka majina kibao ya mahaba, soma kijana
 
Mapenz ya ulaya hayo hata tukishaur tutashaur kibongo bongo.... Ila kama mbwai mbwai tu
 
Kwanza hakuna kitu kama distance rship. Hizo biashara zipo kwenye movie tu.
Pili nyie ni age mate 20'z so hapo msijaribu kuwekwana ahadi kamwe mtaumizana sana.
Tatu mpo kwenye umri wa kuonja onja b4 hamjatulia so for now we kale bata kakitumie hiko ki-papuchi vzr upate experience ya kutosha before hujaingia kwa NDOA coz ma sure he is doing the same with white yummies over there in Canada na baridi LA kule tena!! Acha tu.
So iko clear just tell him it's over n out! Atalia but atapoa! It's ur life not his
 
Okay ni hivi, my boyfriend is in Canada and I'm soon going to another country.

Yeye anasema ana mpango tuoane in the future lakini mimi sina huo mpango nae kwa kweli. We are both 20 na sitaki kuwekeana such promises at this time.

Tatizo jingine ni kwamba tuna dini tofauti. I can't marry someone of a different faith from mine. The question is how do I end this relationship?

We have been together for over a year now even though last year tulizinguana but we are cool now. I don't want to keep on wasting his time.

Lakini vilevile I can't break up with him now because I wouldn't want our situation to affect his studies or mine. Najilaumu hata kwanini nilikubali kuwa naye na sasa hivi sijui nifanyeje.

Naombeni ushauri wenu tafadhali.
tell in straight no lies.
 
Mwambie hufikirii mambo ya ndoa ili usome kwanza, then anza kumpotezea mdogo mdogo baadae penzi litakufa tu automaticaly, na ukichangia mpo mbalimbali sidhani kama itamuathiri sana.
 
Mwambie huwezi kua nae koz wazee hawako happy sababu ya tofauti ya dini zenu.simple.at the end of the day mnataka blessing za wazee ili kuaktk ndoa ya furaha.sioni kama itakua big deal
 
Okay ni hivi, my boyfriend is in Canada and I'm soon going to another country.

Yeye anasema ana mpango tuoane in the future lakini mimi sina huo mpango nae kwa kweli. We are both 20 na sitaki kuwekeana such promises at this time.

Tatizo jingine ni kwamba tuna dini tofauti. I can't marry someone of a different faith from mine. The question is how do I end this relationship?

We have been together for over a year now even though last year tulizinguana but we are cool now. I don't want to keep on wasting his time.

Lakini vilevile I can't break up with him now because I wouldn't want our situation to affect his studies or mine. Najilaumu hata kwanini nilikubali kuwa naye na sasa hivi sijui nifanyeje.

Naombeni ushauri wenu tafadhali.
mbona maamuzi umeshayafanya tayari haina haja ya ushauri,,.coz umesema hutaolewa na mtu ambaye mnatofauti za ki imani
 
Back
Top Bottom