Guys i need your help

How did you learn to hate yourself..? apply the same principles you used earlier but this time in opposite form.
Eg if you said to yourself that you are ugly now say you are a good-looking person and so on...

hili ndilo jibu....zingatia
 
i feel likee am nothin in ths world. i wanna b happy wid me bt i dont knw hw. help pls

I dont think if i get you well and so to other members , but can you say something about why is it like that? What do you have that you dont want and you would like to get rid of? What do you miss that you would wish to have? Does it have to do with your body,possession or what?
 
How did you learn to hate yourself..? apply the same principles you used earlier but this time in opposite form.
Eg if you said to yourself that you are ugly now say you are a good-looking person and so on.....
i didnt learn 2 hate myself bt i got a problem with my family tht make me to under go offff wht am i doin in ths world? i really wanna like me bt i cant
 
Jambo la kwanza la kufanya wekeza katika mahusiano, penda familia marafiki, watoto na hata wanyama na mimea. Jambo la pili usipende kujadili vitu hasi wala kuangalia vitu hasi, kama vile mahusiano yaliovunjika, usaliti na hata mauaji Jambo la tatu ridhika na hali yako uliyonayo kama vile kipato chako au mazingira unayoishi. Jambo la nne epuka marafiki wanaokukatisha tamaa au kukupa lawama zaidi ya yote naweza kukushari kwamba furaha inatafutwa haiji yenywe na msingi mkubwa wa kuipata ni kujikubali na kuridhika na maisha, na kuwa na marifiki wanao kukubari
 
You seem to have low self esteem...
Stop comparing yourself with other people.
Be proud of who you are..there's only one you in this world.
Just change your attitude young lady.
i hv a serious problem nt self esteem whch is ridiculous. thnx then
 
Sasa mkuu hata kinachokufanya ujichukie haujakieleza,tutakusaidiaje sasa?

Halafu ungeandika kwa kiswahili tu,ungeeleweka zaidi kuliko hiko kingereza cha FB
Jambo la muhimu,jifunze kuwa mtu wa watu,usipende kukaa peke yako mda wote

Hisia hizo zitakwisha tu
 
Jambo la kwanza la kufanya wekeza katika mahusiano, penda familia marafiki, watoto na hata wanyama na mimea. Jambo la pili usipende kujadili vitu hasi wala kuangalia vitu hasi, kama vile mahusiano yaliovunjika, usaliti na hata mauaji Jambo la tatu ridhika na hali yako uliyonayo kama vile kipato chako au mazingira unayoishi. Jambo la nne epuka marafiki wanaokukatisha tamaa au kukupa lawama zaidi ya yote naweza kukushari kwamba furaha inatafutwa haiji yenywe na msingi mkubwa wa kuipata ni kujikubali na kuridhika na maisha, na kuwa na marifiki wanao kukubari
ushaur wa kwnza mzur bt unampendaje rafk familia icyokupenda hakujal?
 
Sasa mkuu hata kinachokufanya ujichukie haujakieleza,tutakusaidiaje sasa?

Halafu ungeandika kwa kiswahili tu,ungeeleweka zaidi kuliko hiko kingereza cha FB
Jambo la muhimu,jifunze kuwa mtu wa watu,usipende kukaa peke yako mda wote

Hisia hizo zitakwisha tu
wazaz hwanpend hsa baba cjui kwann. mpk najchukia mwnyw sion km nna umuhm apa dunian zaman walkua wananpenda sna bt wamebadlka. mi nna marafki weng napenda kujchanganya ckai peke angu
 
Kumbe wewe hujaeleza vizuri tatizo lako, jalibu kueleza tatizo lako vizuri utapata ushauri
wazaz hawanpend hsa baba. cjui kwann. zaman alkua ananpenda lakin amebadlika mpk najchukia mwnyw sion km nna umuhm apa dunian. nlileta ili tatzo hpa wa2 awajanshaur wakantukana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom