Tikisa Wallet kidogo na wewe kabla hujafa uitwe HUBBY

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,840
Wanawake wa Dar wana Viwango vyao vya Hela.. Ukiwa unampa 50,000-90,000 utakuwa unaitwa Jina lako tu, Good morning Eddy..Hallow eddY How is your Day...Goodnite eddY.
Ukiwa unampa kati ya 100,000 na 150,000 utakuwa unaitwa DEAR...Morning Dear..UmeamkajeDear..Dear Umekula??Usiku mwema Dear usisahau kuniamsha Asubuhi Ukiwa unatoa kati ya 200,000-300,000hapa utakuwa unaitwa BABY...Baby Hows ur day..Baby naumwa kweli leo...Baby naenda Mwenge see u later
Ukihonga 300,000 na kuendelea hawa ndo wanaitwa HUBBY AKE...Utapendwawewe hadi ushaangae...Kila kitu Hubby Ake...Hubby nimejikwaa...Hubby ndo nafunga mlango...Hubby kuna Mende chumbani njoo tulale wote...Hubby hivi unanipenda??NA swali lao KUU,Hubby hivi utanioa lini?? Chagua jina unalotaka...Mahaba ya siku hizi ni kama MENU ya MPESA, Unajihukumu mwenyewe
Wengi mtakuwa mnaishia kuitwa DEAR na BABY tu...Tikisa Wallet kidogo na wewe kabla hujafa uitwe HUBBY AKE
 
Non sense!
Mbona nawamega bure,tena watoto wakali,
Na wao ndo wanasimamia show,
 
Kumbe ndo maana naitwa eddy kila siku simu yenyewe hadi nipige mimi hata nikituma credit bado naflashiwa tuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom