Ushauri katika hili, mke anapesa ila hamsaidii mumewe

MUGUNDA

Member
Aug 11, 2011
69
62
Yani story iko hivi, kuna mshikaji wangu kaja kwangu wanaishi na mke wake na mtoto mmoja, lakini kila jukumu la familia analijua mwanaume.

Mumewe kakopa pesa ya kumtoa mke wake hospitali, lakini kilichonishangaza ni kwamba anadai mke wake anazopesa kwenye akaunti yake.
 
Pesa unafananishwa na nini, Najua pesa juu zaidi ya madini, Ukiwa na pesa utaanzisha dini, Na ukisema we mungu atakwamini. Ukikosa pesa jamani ni shigidi.
 
ushauri ajifunze kuweka pesa ya emergency hiyo inakuwa incase ya mambo yanayojitokeza bila ya kupanga kama ugonjwa, kifo, na mamabo yanayofanana na hayo..... mpe pole na aongeze bidii ya kutafuta hela .. kuna watu wao hela ni kukaa bank na kusema nina pesa kadhaaa wakati pesa ni ile inayozalisha hiyo ndiyo pesa chaliii
 
Back
Top Bottom