magode
JF-Expert Member
- Oct 2, 2014
- 2,204
- 3,337
Wanajamvi,
Habari za jumanne.?
Pamoja na umri wangu kuwa umesonga,lkn kiukweli sijawahi kuthibitishiwa popote kuhusu hili suala,pengine labda kutokana na mazingira niliyokulia.
Naamini hapa naweza kupata ufumbuzi au ufafanuzi wa kina. Hivi mtu awe mwanaume au mwanamke ni idadi gani ya watu aliotoka nao inayothibitisha kwamba huyu amefikia level ya kuitwa malaya??
Au umalaya siyo idadi ya watu anaotoka nao mtu ki-mapenzi,labda ni kauli zake,mavazi yake nk.ktk jamii ndo vinamfanya aonekane malaya??
Wapo wanaume na wanawake ambao me nawafahamu wana idadi kubwa ya wapenzi na bado wanaongeza lkn hawaitwi malaya bali wao ndo wananyooshea vidole wengine.
Hebu tubadilishane mawazo hili jina ili uitwe inabidi uwe ktk hali gani?? Umalaya hasa ni nini??
Nawasilisha.