wambagusta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 2,825
- 2,291
Toka tumwagane na kipenzi changu .napata wasichana wengine lakini nashangaa nakuwa sina mzuka nao !sometimes siku mbili zina pita siwatafuti wakishoboka nawa ambia simu mbovu. Lakini kwa kipenzi changu ilikuwa siku haipiti bila kumtafuta yeye au mie anitafute na kumbuka ilikuwa raha sana tukiongea kwenye simu tukionana ndio kabisa raha