The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,915
- 19,125
Mjini kuna kina dada wamegundua mbinu mpya ya kitangaza biashara yao ya umalaya/ukahaba kwa njia ya mitandao.
Kuna msemo usemao kila mwanamke ni malaya by default isipokua mama yako, lakini kuna wengine wamamua kuweka wazi umalaya wao.
Hii ni mbinu mpya ya kutangaza umalaya inayotumiwa na watu maarufu au wanaotafta umaarufu hapa bongo.
Unakuta mdada facebook kaandika mimi sijawahi kuliwa uroda wala kuliwa mate wala kunyonywa maziwa, like page yangu na uweke namba yako tuchat.
Mwingine kaweka picha ya nusu uchi kisha anaaandika ona nilivyo mtamu, natokea ...like page yangu kisha weka namba tuchat.
Kwa macho ya juu juu unaweza kudhani wanatangaza page zao au wanataka likes nyingi, sio kweli, hii ni mbinu mpya ya umalaya na kutangaza biashara.
Wadada wameamua kwenda na wakati na teknolojia, hakuna kujipanga tena barabarani, ni kutumia mitandao, malaya hawataki kuacha nyuma na teknolojia.
Kuweni makini na aina hii mpya ya machangu wa mjini. Sharing is caring.