Hivi hakuna namna ya kufuta hayo madude.inakuwaje unapokuta mkeo ana tatoo yenye jina la hawara yake wa zamani ambayo umeigundua baada ya kumwoa?,?.....kazi kwenu kudadavua
Mkuu umekua optimistic.....nimekuelewa sanaNajivunia kuwa nilimpindua huyo jamaa
Ina maana alioa bila ya kukagua....???labda ilikuwa maeneo hatarishi ndo mana haikuonekana mapema
Weka mbali na watotoIna maana alioa bila ya kukagua....???