Jamani i need a serious wife of my life

Ben baba

Member
Dec 31, 2015
69
34
Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa uhai na afya.

Lakini pia nachukua wasaa huu kuwashukuru wote wanaoifanya jamiiforum kutufanya tupate pa kusemea.Baada ya shukrani zangu hizo sasa niende moja kwa moja kwenye uhitaji wangu.

Natafuta ubavu wangu yaani mke mwema. Mimi ni mwanaume mwenye miaka 30, mkristo, nina shahada moja, Nafanya kazi katika taasisi ya binafsi, mkazi wa Mbeya, mrefu kiasi na ni mcha Mungu.

Mwanamke ninayemtafuta awe serious na tayari kuingia kwenye ndoa. Awe pia mcha Mungu, mwenye nia ya dhati, mkweli, mwenye elimu angalau ya kidato cha nne, umri kati ya miaka 26-34, asiwe mfupi sana, kabila lolote, mkristo, mwenye shughuli yeyote ya kumuingizia kipato.

ALIYE TAYARI ANIPM.

Please ni kwa aliye serious tu, sihitaji mizaha wala utani.
 
lakini pia nachukua wasaa huu kuwashukuru wote wanaoifanya jamiiforum kutufanya tupate pa kusemea.
Baada ya shukrani zangu hizo sasa niende moja kwa moja kwenye uhitaji wangu.

Natafuta ubavu wangu yaani MKE MWEMA. Mimi ni mwanaume mwenye miaka 30, mkristo, Nina shahada moja, Nafanya kazi katika taasisi ya binafsi, mkazi wa mbeya, ,mrefu kiasi na ni mcha Mungu.

Mwanamke ninayemtafuta awe serious na tayari kuingia kwenye ndoa. Awe pia mcha Mungu, mwenye nia ya dhati, mkweli, mwenye elimu angalau ya kidato cha nne, umri kati ya miaka 26-34, asiwe mfupi sana,kabila lolote, mkristo, mwenye shughuli yyte ya kumingizia kipato.

ALIYE TAYARI ANIPM.

Please ni kwa aliye serious tu, sihitaji mizaha wala utani.
AU unaeza kuniemal kwa : jshilonde@gmail.com
 
Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa uhai na afya.

Lakini pia nachukua wasaa huu kuwashukuru wote wanaoifanya jamiiforum kutufanya tupate pa kusemea.Baada ya shukrani zangu hizo sasa niende moja kwa moja kwenye uhitaji wangu.

Natafuta ubavu wangu yaani mke mwema. Mimi ni mwanaume mwenye miaka 30, mkristo, nina shahada moja, Nafanya kazi katika taasisi ya binafsi, mkazi wa Mbeya, mrefu kiasi na ni mcha Mungu.

Mwanamke ninayemtafuta awe serious na tayari kuingia kwenye ndoa. Awe pia mcha Mungu, mwenye nia ya dhati, mkweli, mwenye elimu angalau ya kidato cha nne, umri kati ya miaka 26-34, asiwe mfupi sana, kabila lolote, mkristo, mwenye shughuli yeyote ya kumuingizia kipato.

ALIYE TAYARI ANIPM.

Please ni kwa aliye serious tu, sihitaji mizaha wala utani.

Shalom,
Nicheki mimi
 
Je kama akiwa kahitimu kidato cha nne na hana kazi yoyote ya kumuingizia kipato maana wamejaa sana mtaani waliohitimu kidato na hawana kazi.
 
Vigezo na mashart kuzingatiwaa kama umequalify nenda huko pm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom