I am sorry mabinti wa kichagga

Status
Not open for further replies.

kasyabone tall

JF-Expert Member
Sep 13, 2009
254
59
Nimeomba samahani kwa wale watakaokwazika na kuumizwa na habari hii.

Kuna jamaa rafiki yangu sana ana mchumba wake ni mchagga tabia zake zinaendana sana na binti mmoja ambaye ni rafiki yangu. Sasa hawa mabinti wanaendana kitabia na kunifanya niamini maneno niliyowahi ambiwa kuwa mabinti wa kichagga sio wa kuoa, kwani hawa watu ni kindless, loveless, wiseless, worryless and selfish kupita kiasi. Na wanatumia mapenzi kama fimbo.

Sasa haya nimeyaona na nimeamini kuwa hawa watu hawafai. Nikaona niulize wengine mambo yakoje mnayaonaje na kwa wale waliooa wachagga ndoa zikoje?
 
Huo utafiti wako umeufanya kwa muda gani, mpaka umeyaona yote hayo?

Si hao wawili tu aliowasema hapo!!!??? Muulize kwanza yeye kabila gani? ili tutafute wanaume wawili wa ushuhuda wake

SI unajua tena....
 
Huo utafiti wako umeufanya kwa muda gani, mpaka umeyaona yote hayo?

Kuna watu ambao hata mambo physical kabisa wanataka ushahidi...thats hypocricy!.. Wewe unatoka sayari gani usiyejua ukatili wa wanawake wa kichaga, hasa wanaotoka Machame na sehemu zinginezo!Mimi pia nilishaathiriwa na wasichana wa hivyo kabla ya kuoa wa kwetu. Lakini pia niliachwa hoi siku moja msichana wa kimachame aliudhiwa na rafiki yake wa kiume jioni moja, akaamua kuja kwangu kulala bila hata ya kumtongoza, yani tulikuwa tunafahamiana tu mtaani! Uwongo nililala nae, si unajua kwenye ujana nguvu nyingi, na siku hiyohiyo akapata ujauzito. Ni story ndefu, lakini kimsingi ni kwamba baadhi ya wasichana wa kichaga wako HEARTLESS....si jambo la siri!
 
Hiyo ni generalization sana...siyo kweli ...my wife ni mchaga, my mother ni mchagga sijaona tatizo for years acheni blablah...tabia mbaya ni mtu wala si kabila...umbea mtupu

Demu wa kuhonga nae demu....we peleka simu ya mchina huko, ucheze nae dimbadimba!... We are talking the issues here, feeling offended-the gates are open!
 
Hiyo ni generalization sana...siyo kweli ...my wife ni mchaga, my mother ni mchagga sijaona tatizo for years acheni blablah...tabia mbaya ni mtu wala si kabila...umbea mtupu

Vipi kuhusu Baba yako nae ni mchaga? coz ninavyojua mimi ni kuwa wachaga wanawezana wao kwa wao.
 
Nimeomba samahani kwa wale watakaokwazika na kuumizwa na habari hii. kuna jamaa rafiki yangu sana anamchumba wake ni mchaga tabia zake zinaendana sana na binti mmoja ambaye ni rafiki yangu. sasa hawa mabinti wanaendana kitabia na kunifanya niamini maneno niliyowahi ambiwa kuwa mabinti wa kichaga sio wa kuoa. kwani hawa watu ni kindless, loveless, wiseless, worryless and selfish kupita kiasi. na wanatumia mapenzi kama fimbo. sasa haya nimeyaona na nimeamini kuwa hawa watu hawafai. sasa nikaona niulize wengine mambo yakoje mnayaonaje na kwa wale waliooa wachaga ndoa zikoje?
Una Degree? Unayo 'STOUT'? Una 'KABATI ya MBEHO'?

Kwenye udhia penyeza rupia utaona jinsi mabinti hawa wanavyoyajua mapenzi!
 
Nimeomba samahani kwa wale watakaokwazika na kuumizwa na habari hii. kuna jamaa rafiki yangu sana anamchumba wake ni mchaga tabia zake zinaendana sana na binti mmoja ambaye ni rafiki yangu. sasa hawa mabinti wanaendana kitabia na kunifanya niamini maneno niliyowahi ambiwa kuwa mabinti wa kichaga sio wa kuoa. kwani hawa watu ni kindless, loveless, wiseless, worryless and selfish kupita kiasi. na wanatumia mapenzi kama fimbo. sasa haya nimeyaona na nimeamini kuwa hawa watu hawafai. sasa nikaona niulize wengine mambo yakoje mnayaonaje na kwa wale waliooa wachaga ndoa zikoje?
mhh si kweli .
 
Mabinti wa kichaga bomu na hatari..wao wanachojali ni kujinufaisha wenyewe wako selfish sana. Wanakuwa na waume zao kwa sababu za manufaa yao kama kuwapeleka ng'ambo,wakunyang'anye nyumba na mali apeleke kwao etc.na ukiona wanaume wengi waliooa wanawake wa kichaga ni watumwa wa ndoa au mapenzi yao. Wengi walidanganyika na rangi za hawa wamama lakini kwa ujumla hawana malezi wala mafunzo ni bomu..Tumeona na tunaishi nao.....yes i said so!!
 
Wanawake wa kichaga kweli wanapenda kutumia waume zao, haswa wale wamachame na wamarangu wale bana mwanaume awe na pesa.
 
Kwa mtu yeyote ambaye ambaye ana ABC ya takwimu (statistics) hawezi kufikia uamuzi wa kusema hiki kitu kiko hivi mpaka SAMPLE SIZE yake angalau iwe ni thelathini. Kwa maelezo hayo watu wawili hawawezi kwa namna yeyote kuwakilisha kabila zima. Plz elewa tu kuwa mabinti wetu wa KIBONGO FLEVA wote hawawezi kula ugali au chakula kigumu; wao hula chips mayai/kuku kwa soda. Don't expect any good from ladies of that kind.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom