Wakuu,
Kuna utafiti nimeufanya bila walengwa kugundua kuwa me nawafanyia utafiti, nimegundua kwamba wanawake wengi wakienda msalani huwa hawajichambi na maji,instead huwa wanaenda na toilet paper...
Wadau MMU heshima kwenu,
Je, wewe binafsi unakubali watu waoane kwa kulipia mahari,au waoane Free of charge?"Mahakama ya juu zaidi nchini Uganda imesema kuwa utamaduni wa kurejesha mahari...
Habari zenu wote,
Nataka kushare na nyinyi story ya maisha yangu ya kimahusiano tangu naanza issue nzima za mapenzi, honestly hiki ni kitu kinanisumbua sana.
Nahisi kama sijui nina bahati mbaya...
Habari zenu wanajukwaa!! Leo nimefuatwa na kijana mmoja akiomba nimtoe ktk mtanziko alionao baada ya mkewe kujifungua.
Alikuja kwangu kuomba ushauri lkn alikuwa na maswali yaliyonipa changamoto...
habar wadau!ok kuna a boy niliyekua nae class1,at fist we were frnds and he knws kuwa i had a boyfnd na yy he has a grfrnd,.,aliishawah nieleza kuwa anafilings 4me bt i ddnt take it serious coz by...
Huyu mtu wangu tuna miaka 8 naye watoto wawili, nimesafiri miaka 4 na kurudi mara 2 home japo mawasiliano yalikuwa daily tuwe waaminifu, ila baada tu ya kurudi nimekuta mabadiliko kibao:
1...
Wasalaam wanajamii.
Kicheche ndiye mnyama mdogo zaidi lakini ana maajabu makubwa sana. Anauwezo wa kumdaka kuku wa aina yoyote kwa kutumia mkia wake cha ajabu zaidi hawezi kuishi bila kufanya...
Habari za humu ndani, ni matumaini yangu kila mmoja ni mzima wa afya na anaendelea na majukumu ya kawaida ya kila siku. Kwa wale wagonjwa Mungu awaponye mjumuike nasi kuutafuta mkate wa siku...
Hellos. ....
Maisha ukiyatizama kama mstari au kama umbo lolote hutayafurahia kwa asilimia zote.... ila ukiyatizama kama maisha ya amoeba ( yule mnyama sijui mdudu tumejifunza form two kwenye...
Baadhi ya wanaume ni shida tupu yaani unaweza ua mtu hivihivi maana ni afadhali kufungwa jela hata miaka mia kuliko kuvumilia kumuona bado anaishi.
Yamemkuta mdada family friend wetu, huyu dada...
NI LAZIMA WASEME NA WATOE SABABU
Niwape mfano wa Simba na Yanga wakiwa na mchezo wa mpira, kuna majibu ya ya aina tatu yanaweza kutokea kwa timu yoyote kati ya hizo. Kushinda, kushindwa au kutoka...
Na Mwandishi Wetu
MWENYEKITI wa CCM, Tawi la Washington DC, Marekani, Loveness Mamuya, yupo kwenye uhasama mkali na Mtanzania mwenzake anayeishi nchini humo, Linda Bezuidenhout, kiasi cha...
Naamini kabisa kwa asilimia kubwa kubadilika tabia kwa mke ni matokeo ya tabia chafu za mume, wanawake wengine wanaweza kutendwa lakini kutokana na hofu ya maisha basi wanajikuta wakiuguza donda...
Hbr za uck wapendwa,nimekuwa na mahusiano na dada mmoja hivi kwa mwaka wa pili sasa,tatzo liliopo ni kwamba hyu Dada amekuwa na mawasiliano ya krb sana na kaka yake wa baba mdogo wamekuwa...
Habari za wikiendi wanaJF,
Leo katika mapumziko yangu nilikuwa nasoma jarida la kila mwezi la Parents. Katika jarida hili huwa kuna makala inayoitwa "Marriages That Last" ambapo huwahoji wanandoa...
Wakuu,salama?
Ebana juzi nilikua na appoitment ya kukutana faragha na mrembo flani,asa muda ulivyokua umewadia,yeye ndo akawa amenishtua kuwa muda ndo huo na kwa sababu mie nilikua bado na...
Huyu ni rafiki yangu yapata miaka minane sasa tangu tufahamiane, ni kijana safi na mtanashati wa kweli.Huyu rafiki yangu ana tabia moja ambayo inanishangaza sana na hata yeye sasa anailalamikia...
nimetana na jamaa angu 1 analala mika ana uume mdogo sana kwa ukisimaa ni inch 4 wakati ye kikawaida anajua inabid uwe inch6 so jamaa anahisi anaweza achwa na mke wake ......swal does the size of...