Fact:kwanini unaitwa kicheche ijue sababu

explicity

JF-Expert Member
Oct 9, 2015
207
140
Wasalaam wanajamii.
Kicheche ndiye mnyama mdogo zaidi lakini ana maajabu makubwa sana. Anauwezo wa kumdaka kuku wa aina yoyote kwa kutumia mkia wake cha ajabu zaidi hawezi kuishi bila kufanya mapenzi, anauwezo wa kufanya mapenzi mara 26 kwa siku pia ni sawa na kukimbia kilometa 360 kwa siku. Najua wajua ila nakujuza zaidi ndio maana watu wengi ambao awajatulia hasa kwenye mahusiano yao wanaitwa vicheche sifa zao zikilinganishwa na mnyama huyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom